Machapisho

Picha
          Siku moja nilienda bank kwa ajili ya kufungua account, siku hiyo nilipanga kumaliza kila kitu kinachohusiana na kufungua account hiyo maana nilikuwapo katika bank hiyo siku mbili tofauti za nyuma kwa ajili ya kushughulikia account hiyo bila mafanikio.           Siku hiyo nilitoka nyumbani kwa kusudi moja tu la kuhakikisha nimefanikiwa kufungua account,maana nilibeba kila ambacho kingehitajika kuifungua account hiyo,tofauti na nilivyozoea kukuta watu wachache na kupata huduma haraka, siku hiyo watu walikuwa wengi na mhudumiaji counter alikuwa mmoja tu;nilibadilisha mapozi yote ya ukaaji na usimamaji ili kuvuta muda kwa ajili ya kupata huduma,nilisubiri na kusubiri nakusubiri bila mafanikio yoyote,           Nilifika pale asubuhi mida ya saa nne lakini mpaka wanakula chakula cha mchana mimi bado nipo tu,mpaka inaanza kuingia saa tisa mimi bado nipo tu…jambo moja nakumbuka nilijiambia ni kwamba   “leo siondoki mpaka nimekamilisha zoezi hili”           Kuna wakati i

Kutoka kuuza Chips hadi kumiliki Kiwanda Kikubwa ... Pia unaweza

Picha

KUFANIKIWA KIMAISHA.

                                                      MAFANIKIO YA KIMAISHA Ili maisha yangu yawe vile Mungu anataka niwe imenipasa kuwa na nidhamu, kuna maeneo kadhaa ambayo napaswa kuweka bidii ya nidhamu katika hayo,maeneo kama;Mahusiano na Mungu,muda,pesa pamoja na kazi ni vitu ambavyo lazima niviangalie kwa jicho la pekee ukizingatia kwamba ni maeneo nyeti yatakayonipelekea kufikia malengo kama nikiyatendea kwa ustadi. Kama alivyosema kaka Fela Duratoye katika moja ya semina alizokuwa mzungumzaji juu ya jinsi ya kwenda mbele kwa kasi,alisema inabidi mtu aone ni jinsi gani anaweza kuona vitu vya; ·          Kuanza kufanya ·          Kuacha kufanya ·          Kufanya zaidi ·          Kupunguza kufanya.             Ili ufanikiwe kimaisha ni jambo la busara kujua ni mambo gani ya kuyaanza, yapi ya kuyaacha na pia yapi ya kufanya zaidi na yapi ya kupunguza kufanya. Duniani kuna mambo mengi, bila  kuwa makini unaweza kujikuta unajihusisha na kila kitu haliyakuwa muda